Graduate programme banc abc

Graduate programme banc abc

kaka does that mean tunatakiwa kutuma CV pamoja na vyeti.? au kwa wale ambao hatukubahatika kuliona hilo gazeti na hatuna namna ya kulipata...tafadhali tusaidie details za muhimu zilizowekwa.
wamesema cv and details
hawajaspecify details gani mkuu ila posts ni graduate program for work training ni for 24 months area of specialization ni kama alivyozilist mtoa mada mkuu so i tink kwe subject ya e-mail utaaodika Application for graduate program work training in.... Sasa utamalizia kama ni accounting alafu kwenye mainbody jielezee na uombe then attach ur cv na transcripts hayo ni maoni yangu
 
Nashindwa kuspecify kwan nahisi itakula kwangu,nimeoma bcom in management sciences, katika list yao naona chenga
 
Nimefungua ukurasa wa kazi katika website ya hii benki umwandikwa hivi "There are currently no positions available". Mleta mada tusaidie hapo.......
 
1[SUP]st[/SUP] Floor Barclays House,
Ohio Street
P.O. Box 31,
Dar es Salaam
Tanzania
Fax 255 22 2112402
Tel 255 22 2111990
255 22 2119517
255 22 2119302

mkuu hiyo unayosema ni CBA siyo ABC.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom