Graduate management trainees ya DTB

Bisansaba

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
292
Reaction score
109
Habari wanajf, kuna mtu keshaitwa kwenye interview DTB au anataarifa yoyote kuhusu hiyo post? Kwa sababu walisema watakaofaulu wataanza mafunzo mwezi wa 1, na ndio huu umefika, kwa upande wangu naona bado wako kimya sijui nyinyi wenzangu mlioomba. Tujuzane!
 
heeee kuna HR manager wao anapenda kubandua waombaji kazi balaaa ...kama wewe mwanaume sahau....
 

Huwa wanachelewa sana kuita wala usihofu....
 
Bora yako wewe unaenitia moyo!

Mwaka jana mpaka muda kama huu walikuwa washafanya interview mbili ya tatu ikafanyika january na mwisho wa mwez wa January walianza kazi ila kwa mwaka huu imechelewa kidogo
 
Mwaka jana mpaka muda kama huu walikuwa washafanya interview mbili ya tatu ikafanyika january na mwisho wa mwez wa January walianza kazi ila kwa mwaka huu imechelewa kidogo
Asante aisee, kumbe niwe mvumilivu tu.
 
We ishakula kwako mkuu, angalia njia nyingne tu

We mngoni lazima utakuwa na mapepo makali sana ya kukatisha watu tamaa kama wewe ulivojikatia tamaa na maisha.

We umevurugwa haki ya nani kafie mbele na stress zako nyambaffffffff
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…