Aisee tuna safari ndefu sana ,wewe endelea kusema adui yenu karudi wakati kwenye shule za kanisa wana pass mark zao ambayo lazima ufikie ndio uweze kwenda mbele ,mnafurahia Jk alivyoharibu elimu kesho na keshokutwa muanze kulalamika oh wakristo sijui wanapewa nafasi nzuri ,sasa unategemea mseminari aliyesoma vizuri na hawa wa kufaulishwa bila kujua kusoma na kuandika hizo post nzuri watapewa kina nani ?? Jengeni shule jamani,wapelekeni watoto shule ,vinginevyo tutaendelea kulaumiana tu
Sio wajenge shule tu, watoe elimu bora kwa watoto wao na sio blabla. kunashule zipo mwanza za kiislam(watu binafsi), nazikubal sana. thaqafa, taqwa na kiseke waige hizo. wakumbukuke kuhudumia watoto, nasio kuzaazaa watoto wasio na idadi ili kueneza dini bd ya kuwapa huduma
Kikwete alitaka waweke hadi div. 7 kuwaokoa waislam maana wanafeli sana kupita kawaida... kama yeye JK.
mkuu huyu kashatanabaisha kuwa anaitwa AbunuasSasa wewe mkubwa ulichokiandika ni nin hapa?
Akili yako na uwezo wako wa kufikiri ndio umeishia hapo???