amekutuma uje umsifie huku?,huyu dada ni mpuuzi sana na alionyesha huo upuuzi wake kwenye taarifa za habari wakati wa kampeni mwaka 2010 kwa kuonyesha upendeleo wa wazi kwa magamba maana namna anavyohoji wapinzani inaonyesha kabisa yuko 'biased' kitu ambacho siyo kizuri kwa mwandish/mtangazaji wa habari!