Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 19,464
- 25,377
.
PoleWakuu GPA za chuo zinahesabiwa vipi ?
Yani mfano wanaposema hili somo lina unit ,moja ,mbili ,tatu nk inakuwa kuwaje yani kupata overall GPA?
Yani nilivyoona tu CL na DS nimekumbuka mbali saana yamenitesa sana hayo masomo jamani kaah..Maswala ya units sijawah kuyaona kama yana uzto kwenye GPA
Somo likiwa na units nyingi manake n core courses zenye units chache n course za mchezo mchezo japo huwa ngumu na mostly huwa za kushare waeza kuta first year wooote mnasoma hyo course haijalishi umespecialize kwenye nn
Mfano DS , CL
Mkuu ulivyotafuta wewe sidhani kama hiyo system inatumika mpaka chuoPole
Skilza ndugu
A=5points
B+=4points
B=3points
C=2points
D=1point supplementary
E= carry/ repeat course (bashite)
Sasa Fanya hivi mfano una masomo 6 angalia umepataje katika hizo grades kama n A zote bas chukua points znazohusu A jumlisha zote kulingana na masomo as we assumed zpo 6 so its 5*6=30 so ukishapata hyo 30 unagawanya na idadi ya masomo yako ambayo ni hayo 6 utapata 5 hyo 5 ndo GPA
Mfano mwngne labda una course saba na umescode hvi
Somo 1 = A
Somo 2=B+
Somo 3 =B
Somo 4 =C
Somo 5=A
Somo 6=B
Somo 7=A
Unavyoipata GPA yako
Rudi kwenye grades na points zake then ziweke kwa style hii
Points
Somo 1 = A =5
Somo 2=B+=4
Somo 3 =B=3
Somo 4 =C=3
Somo 5=A=5
Somo 6=B=3
Somo 7=A=5
Jumla ya =28points
GPA= jumla ya points gawa kwa idadi ya course
=28/7
=4
Kwahyo kwa design hyo utakua ja GPA ya 4
Hapo mkuu umenifungua akiliMaswala ya units sijawah kuyaona kama yana uzto kwenye GPA
Somo likiwa na units nyingi manake n core courses zenye units chache n course za mchezo mchezo japo huwa ngumu na mostly huwa za kushare waeza kuta first year wooote mnasoma hyo course haijalishi umespecialize kwenye nn
Mfano DS , CL
Masomo yametofautiana unit. Mfano masomo yapo 8 kila moja na unit yake, basi unachukua alama uliyoipata Kama ni A inakuwa na 5. Hivyo unit x alama halafu unakuja kugawa Kwa total units za jumla ya masomo. A=5 ,B+=4,B=3,C=2,D=1Wakuu GPA za chuo zinahesabiwa vipi ?
Yani mfano wanaposema hili somo lina unit ,moja ,mbili ,tatu nk inakuwa kuwaje yani kupata overall GPA?
We ndo uko OK!!!Masomo yametofautiana unit. Mfano masomo yapo 8 kila moja na unit yake, basi unachukua alama uliyoipata Kama ni A inakuwa na 5. Hivyo unit x alama halafu unakuja kugawa Kwa total units za jumla ya masomo. A=5 ,B+=4,B=3,C=2,D=1
sasa somo likiwa na unit 2 na umepata A, Chukua 2x5=10 jingine labda B+
Unit yake 3x4= 12 jingine labda A
Unit yake 3x5= 15 jingine labda A
Unit yake 2x5= 10 jingine labda B+
Unit yake 4x4 = 16 jingine labda C
Unit yake 4x2 = 8 jingine Labda B+
Unit yake 4x4 =16 jingine labda A
Unit yake 2x5 =10
Total units ni =24
Total units and marks=97
Gawa 97/24=4.04(GPA)now hiyo ni semester 1 fanya hivo kwa semester zote. Then jumlisha na utafute average.
Jibu lako lipo sahihi zaidiMasomo yametofautiana unit. Mfano masomo yapo 8 kila moja na unit yake, basi unachukua alama uliyoipata Kama ni A inakuwa na 5. Hivyo unit x alama halafu unakuja kugawa Kwa total units za jumla ya masomo. A=5 ,B+=4,B=3,C=2,D=1
sasa somo likiwa na unit 2 na umepata A, Chukua 2x5=10 jingine labda B+
Unit yake 3x4= 12 jingine labda A
Unit yake 3x5= 15 jingine labda A
Unit yake 2x5= 10 jingine labda B+
Unit yake 4x4 = 16 jingine labda C
Unit yake 4x2 = 8 jingine Labda B+
Unit yake 4x4 =16 jingine labda A
Unit yake 2x5 =10
Total units ni =24
Total units and marks=97
Gawa 97/24=4.04(GPA)now hiyo ni semester 1 fanya hivo kwa semester zote. Then jumlisha na utafute average.
Hahaha nimekubamba kumbe nawe uko humu na yeezus ndio jina lao jana umeuliza kwenye group la darasani hukupata jibu umeingia huku. Kiufupi niliogopa kukupa formula maana umekamatwa na najua huwa una pressure. Ila usijali kwenye mtandao wamerekebisha GPA zinaonekana. Jiandae Kufanya supp. Bado wiki 2 tuWakuu GPA za chuo zinahesabiwa vipi ?
Yani mfano wanaposema hili somo lina unit ,moja ,mbili ,tatu nk inakuwa kuwaje yani kupata overall GPA?
Mkuu uko sawa lakini vyuo kama SUA vina formula tofauti kidogo. Check uzi ufuatao Uhusiano wa ajira za ualimu Vyuo Vikuu, TCU na GPA za SUAMasomo yametofautiana unit. Mfano masomo yapo 8 kila moja na unit yake, basi unachukua alama uliyoipata Kama ni A inakuwa na 5. Hivyo unit x alama halafu unakuja kugawa Kwa total units za jumla ya masomo. A=5 ,B+=4,B=3,C=2,D=1
sasa somo likiwa na unit 2 na umepata A, Chukua 2x5=10 jingine labda B+
Unit yake 3x4= 12 jingine labda A
Unit yake 3x5= 15 jingine labda A
Unit yake 2x5= 10 jingine labda B+
Unit yake 4x4 = 16 jingine labda C
Unit yake 4x2 = 8 jingine Labda B+
Unit yake 4x4 =16 jingine labda A
Unit yake 2x5 =10
Total units ni =24
Total units and marks=97
Gawa 97/24=4.04(GPA)now hiyo ni semester 1 fanya hivo kwa semester zote. Then jumlisha na utafute average.
Pamoja mkuuMkuu uko sawa lakini vyuo kama SUA vina formula tofauti kidogo. Check uzi ufuatao Uhusiano wa ajira za ualimu Vyuo Vikuu, TCU na GPA za SUA
Hivyo kwa uhakika soma prospectus ya chuo chako.
NonsenseBaada ya kusoma na kufaulu
Wakuu GPA za chuo zinahesabiwa vipi ?
Yani mfano wanaposema hili somo lina unit ,moja ,mbili ,tatu nk inakuwa kuwaje yani kupata overall GPA?
Nonsense
Siyo wote wanaohudhuria. pia unaweza kuhudhuria lakini bado ukasahau.hayo maswali ni ya kuuliza kwenye orientation inaonekana hujui kitu kabisa kuhusu swala la GPA
kama kweli utakuwa rais 2020, basi tutaisoma namba kwa uzungumzaji wako. maana lugha yenyewe ya kiswahili ni shida kwako. SWALA badala ya SUALA.hayo maswali ni ya kuuliza kwenye orientation inaonekana hujui kitu kabisa kuhusu swala la GPA
Mkuu ulivyotafuta wewe sidhani kama hiyo system inatumika mpaka chuo
Hiyo ni system ya O lev au advance lev
Kwa sababu huku idadi ya units zinatofautiana masomo mengine yana unit 1 mengine units 2 au 3