Brother Kaka.
Member
- May 11, 2015
- 66
- 32
Nina mashaka na elimu yako.Habarini wanajamvi,
Mimi nina GPA ya 3.9 undergraduate,
Niliapply Master of Education UDSM.
Nimecheck matokeo naona wamenitema,
Na wazoefu wadai si rahisi kutemwa kwa GPA hii.
Kuna uwezekano wa/ni sawa
Kwenda pale chuoni kuulizia labda kuna kigezo fulani kilichozingatiwa kunitema tofauti na GPA ili mwakani tukijaaliwa niongeze umakini wakati wa kuapply?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkosoe kidogo tujifunze mkuu alipokoseaNina mashaka na elimu yako.
Na kama ni kweli unachokisema bora walivyokutema tu kwa maana hata kuandika hujui.
Akikujibu nistue ....
Pulling na Torque yake ni Ndogo ndo maana ameachwa solemba...Kutemwa kwako nadhani imetokana na ushindani katika master's degree hiyo. Mfano labda udsm walitaka master's ya education watu 10 na waliotuma wengi wana G.P.A kuanzia 4 hapo lazima utakosa
Inategemea unataka programme gani..Kwa hio mimi mwenye 3.4 siwez ambulia nafasi yoyote
Sent from my Priceless H40-D00 Bombadier
Business administration.Inategemea unataka programme gani..
Coz zingine zina ushindani mkubwa so Cut-off inakuwa juu sana...
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza kupata mkuu kikubwa kujiongeza mfano kama una uzoefu wa kazi japo kwa mwaka mmoja unakuwa nafasi ya kupata kuliko anaeunganisha kumbuka Masters sio sawa na mtu anaetoka Form 4 kwenda Form 5 wataangalia zaidi O-level umepata nini ila wao mpaka Practical experience ina matter piaKwa hio mimi mwenye 3.4 siwez ambulia nafasi yoyote
Sent from my Priceless H40-D00 Bombadier
Habarini wanajamvi,
Mimi nina GPA ya 3.9 undergraduate,
Niliapply Master of Education UDSM.
Nimecheck matokeo naona wamenitema,
Na wazoefu wadai si rahisi kutemwa kwa GPA hii.
Kuna uwezekano wa/ni sawa
Kwenda pale chuoni kuulizia labda kuna kigezo fulani kilichozingatiwa kunitema tofauti na GPA ili mwakani tukijaaliwa niongeze umakini wakati wa kuapply?
Mkuu majina umeyapata wapi?Mbona kwenye website ya UDSM hayapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Na afadhali umeachwa na inaelekea hiyo GPA yako ni ya kukalili masomo.Habarini wanajamvi,
Mimi nina GPA ya 3.9 undergraduate,
Niliapply Master of Education UDSM.
Nimecheck matokeo naona wamenitema,
Na wazoefu wadai si rahisi kutemwa kwa GPA hii.
Kuna uwezekano wa/ni sawa
Kwenda pale chuoni kuulizia labda kuna kigezo fulani kilichozingatiwa kunitema tofauti na GPA ili mwakani tukijaaliwa niongeze umakini wakati wa kuapply?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ungemwelekeza tu vizuri mtanzania mwenzako. Vijembe hapa vya nini sasa?Na afadhali umeachwa na inaelekea hiyo GPA yako ni ya kukalili masomo.
Nani alikuambia ukiwa na GPA hiyo basi wewe ni best?
Kuomba na kupata au kakosa ni kitu cha kawaida kwa msomi yeyote, na kama unapingamizi kwa aliyesoma na kupata GPA ya kuelewa alichofundishwa angefuata utaratibu wa rufaa.
Kln kwa kuwa wewe ni wale wa kukesha kukalili majibu, na akili yako ya kukalili ukaona jamii forum ndio utaratibu wa kufuatilia.
Na utapata tabu sana kwenye interview za kazi, labda uendelee kufundisha
Sent using Jamii Forums mobile app