GPA ipi wanachukua kuingia degree?

Nadhani kwa hivi vyuo vya kati hakuna huo utaratibu wa mambo ya best student....ninachokijua ukokotoaji wa GPA mwisho wa siku ni sawa kwa wote..
Umesomeka mkuu.

Kwa nini hakuna hayo mambo au ndio utaratibu umewekwa ?
 
Sio kweli NTA level 6, ni ordinary diploma mwaka wa pili.

Yaaan wewe ni kilaza wa kutupwa kabisaaa....unaelekezwa unaleta ubishi usiokua na maanaa .....JF sio jukwaa la ubishii tunaelekezanaa usilete ubishi wa kipuuzi
 
Naelekezwa na nani?mimi nimepinga hoja yako kuwa NTA level 6, ni mwaka wa tatu, (kwenye diploma)kama kuna maelezo mengine ungeyatoa, kwa ngazi ya diploma zote za miaka 2, mwaka wa kwanza huwa ni NTA 5, na wa pili ni NTA 6!!
 
“SAWA BOSS UMESHINDA “
 
Back
Top Bottom