GOV'T v/s SUGAR INDUSTRIES

Sukari na saruji zinazoingizwa nchini na wahindi hawa mabingwa wa kukwepa kodi tangu lini zimeanza kulipiwa kodi halali? Wewe huijui Tanzania ndo maana unaamini kuna kitu kinaendeshwa bila rushwa. Ukifuata ushauri wako nchi inazama kaburini maana hatutakuwa hata na senti moja ya dola kwa kuagiza kila kitu toka nje.
 
Muhimu mwananchi kupata nafuu ya maisha.
 

Masuala ya kitaalamu sio kila mtu anaweza kuongelea hapa wewe "KINYESI" ni Livingston Lusinde.
 
this issue is GOING TO IGNITE A NEW SCANDAL BIGGER THAN THAT OF ESCROW LETS KEEP TUNE ON!
 
this issue is GOING TO IGNITE A NEW SCANDAL BIGGER THAN THAT OF ESCROW LETS KEEP TUNE ON!

IT'S a bullshit kama tutakuwa watu wa kuibua tu scandal @ the end of the day kuwajibishana tunaoneana aibu.Wabunge wasianzishe riwaya mpya wakati zilizopo hatujui zimeishiaje mfn eppa,dowans,escrow,list ya majina ya wauza poda,tusimamie haya kwanza kieleweke.Sio dairy tunaibua mambo tu bila wahusika kushtakiwa mim binafsi sioni umuhimu huo.
 
Mi napendekeza waendelee kuleta sukari toka huko huko nje maana sukari ya ndani bei juu na huku miwa inavunwa maeneo hayo hayo mi huku rorya natumia sukari ya kenya kilo moja tsh 1500 ya tanzania 2500 huoni huu ni upuuzi serikal naiomba ingalie wapi kuna tatizo maana hawa wafanyabiashara wa tanzania wanajali faida tu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…