Govt schools use high expenses compared with private schools

amshapopo

JF-Expert Member
Sep 7, 2014
1,650
3,811
ukichukulia rasilimali(input) yaani walimu waliopo, idadi ya wanafunzi, pesa inayotumika kugharia vyote hiv ikiwemo mishahara utapata jibu kuwa shule za serikali zinatumia gharama kubwa kiuendeshaji ukilinganisha na matokeo ( output)
Mfano mzuri shule nyingi za serikali za mijini zina waalimu wengi ukilinganisha idadi ya wanafunzi na madarasa yaliyo. Shule nyingi za mijini zina waalimu wengi mpaka 80 kwa shule moja na sifuri kibao mwisho wa siku wakati private school waalimu wachache ufanisi wa hali ya juu. kwahiyo ni uongo kusema shule za private zinatumia gharam kubwa kuliko za serikali.
 
Je? jiulize ziko ngapi je wanafunzi ni wangapi? Majibu umeyapata
 
Back
Top Bottom