Government chemistry laboratory authority

Government chemistry laboratory authority

Dr kwalu

Member
Joined
Jul 23, 2017
Posts
25
Reaction score
9
Napenda kuuliza 'medical laboratory technologist' anaweza kuajiriwa kufanya kazi kwa Mkemia mkuu wa Serikali,, na kama anaweza,, majukumu yake, yakoje huko?
 
Ndio Wanaajiriwa ila upande wa majukum nahisi ni yaleyale katika kucollect samples na kuzirun mkuu!!
 
Back
Top Bottom