Government and Barrick Visit Mining Sites during their Talks

Msaliti wa watz
 
majadiliano ni wao walipe trilion zetu,sie tumejiridhisha wanatuiibia. win win situation ni wizi mwingine wa kutudhurumu tunachowadai. Sitarajii serikali iseme tumewasamehe sehemu ya trilioni zetu.
 
Nitakuwa wa mwisho kuamini kuwa wapo wanao tumiwa. Wakati mimi naamini kuwa kinacho endelea ni masahihisho ya makosa, wahusika wanajitanabaisha kama hawakuwahi kukosea!

Nakubaliana na wewe kwa kiasi kwamba nia ni kurekebisha maovu ya Acacia lakini pia uovu wa waliofanya watu wetu kwa kusaliti TAIFA baada ya kuhongwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…