Gotham city

Gotham city

Jaguar

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2011
Posts
3,440
Reaction score
1,029
'Someni magazeti kama vile mnavyosoma barua mnazotumiwa'.Hii ni kauli iliyotolewa na spika wa bunge Anna makinda katika kikao na wawakilishi kutoka vyombo mbali mbali vya habari.Hii kauli imewakera wengi wa waandishi wa habari hali iliyopelekea kumtaka aombe radhi.Huyu mama kwa jeuri amekataa kuomba msamaha akiamini yuko sahihi.
 
Huyu mama ni jeuri kama Mkwere akiwa anaomba kura anayeyekea kama anataHI*^*()(*(*)*):embarassed2:
 
Logic will get you from A to B. Imagination will take you everywhere. But, this mama, lacks neither of the two; wantonly or unknowingly.
 
'Someni magazeti kama vile mnavyosoma barua mnazotumiwa'.Hii ni kauli iliyotolewa na spika wa bunge Anna makinda katika kikao na wawakilishi kutoka vyombo mbali mbali vya habari.Hii kauli imewakera wengi wa waandishi wa habari hali iliyopelekea kumtaka aombe radhi.Huyu mama kwa jeuri amekataa kuomba msamaha akiamini yuko sahihi.

Hiyo kauli ina tatizo gani?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom