Eeh Bwana uniinue.. Kwa imani nisimame
Nipande milima yote eeh Bwana unipandishe ..
Nisikae duniani ni mahali pa shetani
Natazamia mbinguni eeh Bwana unitazame...!
Eeh Bwana uniinue.. Kwa imani nisimame
Nipande milima yote eeh Bwana unipandishe ..
Nisikae duniani ni mahali pa shetani
Natazamia mbinguni eeh Bwana unitazame...!
Kitabu Cha nyimbo za Injili, unanikumbusha mbali sana, unakuta viwanja vya jangwani kumesheheni hapo Yupo Dr Moses Kulola daah ikiimbwa hii nyimbo unaweza kudhani Yesu ndio anarudi