Gospel "Kwa Nini Videos Na Sio Audio Tena!?"

JAYJAY

JF-Expert Member
Oct 31, 2008
7,510
7,534
Nimeona kuwa sasa wengi Wa waimbaji Wa gospel wanatoa DVD na sio audio kama miaka michache iliyopita.

Kwa nini imekuwa hivi!? Maana naamini msikilizaji anajifunza zaidi kwa kusikiliza ujumbe Wa wimbo husika kuliko kuangalia MTU au watu wakicheza. Wadau Wa gospel music tusaidiane hapa.
 
Back
Top Bottom