eti wanaume wangapi wenye nguvu wanaweza shindana na gorrila na kumshinda kwa kumpeleka chini? nimesikia mpaka wanaume 100 eti ndiyo wanaweza mpeleka gorrila chini, nini maoni yako ? …
kama zikipigwa wanaume vs gorilla
View attachment 3393190
View attachment 3393189
The gorilla -magilla!eti wanaume wangapi wenye nguvu wanaweza shindana na gorrila na kumshinda kwa kumpeleka chini? nimesikia mpaka wanaume 100 eti ndiyo wanaweza mpeleka gorrila chini, nini maoni yako ? …
kama zikipigwa wanaume vs gorilla
View attachment 3393190
View attachment 3393189
Atakuwa ananyanyua vyuma amekatikatika haswaaa.Aisee! Huyo wa juu hapo anatisha..
Mzee wa Gombe anapigwa chini na mwanaume mmoja tu ambaye ni Chadema Damu damu,sii aliye msaliti.eti wanaume wangapi wenye nguvu wanaweza shindana na gorrila na kumshinda kwa kumpeleka chini? nimesikia mpaka wanaume 100 eti ndiyo wanaweza mpeleka gorrila chini, nini maoni yako ? …
kama zikipigwa wanaume vs gorilla
View attachment 3393190
View attachment 3393189
Duma siwezi kukaogopa ni kapaka ka mwituni, halafu tembo hali nyamaGorilla ni rafiki mzuri tu, kwanza hata habari kupigana na bin adam.
Duma, Chui,Tembo hata Simba hawali nyama ya mtu kabla hujawachokoza.
Gorilla ukimsumbua anaweza kuja kutawanya kijiji kizima hapo kwenu.
Na watakuja watatu tu.
Mtapigwa mpaka maji muite Malila
Sokwe kwa kiingereza anaitwaje?gombe sidhani kama kuna gorila, nafikiri kuna sokwe, sokwe siyo gorila, gorila ni mkubwa zaidi ya sokwe …
Hebu nichambue kwa undani uwezo wa gorilla na mlinganisho wa vitendo:
1. Nguvu ya Gorilla kwa Mlinganisho wa Vitendo
Kuvunja Mbao: Gorilla anaweza kuvunja mbao nene kama 2x4 inches (5x10cm) kwa mikono tu - sawa na mtu akitumia nyundo kubwa.
Kuinua Mizigo: Anaweza kuinua hadi 815kg (sawa na gari ndogo au farasi wawili wazima).
Kushindana na Wanyama: Nguvu zake ni 4-9 mara zaidi ya mwanadamu mwenye viungo vya kawaida.
2. Wanadamu Wanaoweza Kumshinda Gorilla
Kwa Hali ya Kawaida:
Wanadamu 4-8 wanaofanya kazi kwa pamoja wanaweza kumshinda kwa kumzunguka na kumvamia kwa mara kwa mara.
Lakini hii inahitaji ujasiri na ushirikiano kamili - gorilla atapambana kwa nguvu zote.
Kwa Gorilla Mwenye Hasira Kali:
Inahitaji wanadamu 10-15 waliopanga vizuri kwa silaha za kutosha (vijiti, nyundo, n.k.).
Bila silaha, hata wanadamu wengi wanaweza kuumia vibaya kwa sekunde chache tu.
3. Sababu za Uwezo Wake
Misuli: Mwili wake una misuli 6 mara nene zaidi ya ya mwanadamu.
Kasi: Anaweza kukimbia kwa 40km/h - kasi ya mbio fupi ya mwanariadha wa Olimpiki.
Menyo: Fizo lake lina nguvu ya 1,300 PSI, lenye uwezo wa kukata mfupa wa mwanadamu kwa urahisi.
4. Onyo
Gorilla ni mnyama mwenye amani hasa, lakini akikasirika au kujisikia katika hatari, hata kikosi cha polisi kinaweza kuwa na shida kumdhibiti bila silaha maalum.
Vipi kuhusu King Konggombe sidhani kama kuna gorila, nafikiri kuna sokwe, sokwe siyo gorila, gorila ni mkubwa zaidi ya sokwe …