Ccm ndio mwisho wenu watu wanakiama chama taratibu hawa ni wanaojulikana bado sisi huku mtaani tunaowajua wasiokuwa na vyeo Bali walikuwa wapigakura wa ccm wameama
yani watu kuhamia upande wenu haimaanishi ndio ushindi au ndio kukubalika. Angalieni watu mnaowapokea kuanzia mgombea wenu wa urais ni watu wa namna gani katika jamii?. Wengi wao ni mafisadi na walioshindwa katika kura za maoni na kukimbilia kwenu.