Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,284
- 2,593
Yap india ni moja wapo ya nchi yenye wtu wenye huelewa mkubwa sana kuhusu teknolojiaHata CEO wa Alphabet kampuni mama ya Google ni Mhindi Pure pamoja na Kuwa Kiuraia ni Mmarekani ila Sundar Pichai ni Mhindi Pure
Gharama pia, kipindi Apple wanaanza wafanyakazi foxconn China walikua wanalipwa chini ya $200. Sasa hivi Foxconn mishahara inafika hadi $1000 ama zaidi.nadhani ukiondoa kwamba kuna mkakati wa makampuni ya magaribi kuhamishia uzalishaji kutoka china kwenda india Apple na sasa google,lakini kuna kamkono ka pichai sundai hapo,ameamua ukapigiwe nyumbani.
Google hawajawahi kuinvest Chinanadhani ukiondoa kwamba kuna mkakati wa makampuni ya magaribi kuhamishia uzalishaji kutoka china kwenda india Apple na sasa google,lakini kuna kamkono ka pichai sundai hapo,ameamua ukapigiwe nyumbani.
Kwenye suala la kumtoa China katika uzalishaji bado sana. Maana China amejiwekeza sana na pia anatamani kushika soko la semiconductor manufacturers kwa kuivamia Taiwan na ndio maana Marekani haiwezi ruhusu hilo kutokea.Miaka 5 ijayo makampuni mengi makubwa ya magharibi yatakua yana viwanda ama yatakua yanazalishia simu zao ama vifaa vyao vya kiteknolojia ya haki ya juu India.
India ina skilled labour force ya kutosha na cheap.