Google wanarekodi sehemu zote unazopita

Google wanarekodi sehemu zote unazopita

Third party anaweza ku Access location yko na akawa anakufatilia

Kuna a lot of apps play store zipo
Kumfatilia mpenzi, Mtoto wako ect

Kuhusiana na kujua location zko labda uwa request Google Mimi nimetumiwa tu.
Ninafanyaje kujua sehemu nilizopita!!?

Je mtu wa tatu/third party hawezi kuaccess hii huduma, kujua harakati zangu !!?
 
Chagua app zipi za ku access your location na pia hizo app chagua only when in use. Yani ukitumia tu mfano kama Google Map, Uber n.k

Pia ondoa geo tag setting kwenye picha

Hii pia itasaidia kutunza charge ya simu yako
 
Kabisa

Alafu nimesha sikia Google wana tabia ya kumfatilia mteja wao ata vitu unavopendela ku Google kuwauzia company husika taarifa zko

Na wao watakuletea Ads.
Hii ndiyo sababu ya nchi kama China kuizuia google kwao.
 
Pamoja mkuu
Chagua app zipi za ku access your location na pia hizo app chagua only when in use. Yani ukitumia tu mfano kama Google Map, Uber n.k

Pia ondoa geo tag setting kwenye picha

Hii pia itasaidia kutunza charge ya simu yako
 
Nimetumiwa E- mail na Google wenyewe ya activities zangu (Google map timeline)

Nawaka nishauri (husia) juu ya Covid 19,!

Sasa baada ya ku explore
Ndo data zote zikaja asee mpaka baadhi ya guest ulizo ingia nimeniwekea ( confidence)
Picha nilizo ziweka ni baadhi.

(Confidential)
 
Kusalimika labda uwe na kitochi [emoji28]
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] hawa google itafika kipindi sasa wataanza kutoa list ya mademu wote ambao umetembea nao
 
Hizi simu zinaweza kuku aibisha
Shukrani mkuu
[emoji120]
ni kweli lkn faida zake zipo nyingi, unaweza kwasaidia katika kurekebisha majina ya mitaa au hata kuwashtua km barabara zimekufa au madaraja kubomoka, kwa sababu utakapo chepuka itaonekana umetoka nje ya ramani yao, Google Map wanapenda sana huduma hizo za location
mf ukitoka Kivukoni kwenda Mbezi wanakupa kabisa na muda utakaotumia na jam ipo wapi
km hutaki iache smartphone tembea na kitochi nao watabaki hapo hapo, labda ukawashe Laptop au PC ukifungua GMAIL au email yako wapo
sifa nyigine ni kutunza majina yako yote address ulizosave, ukipoteza smu wanakurudishia wote
 
Binafsi Google map imenisaidia kufika ofisi mbalimbali bila kuuliza uliza Sana wadau na kuepuka kuingizwa mjini na watoto wa town....😁
maana ukiwa unauliza uliza Sana sehem za watu hawachelewi watoto wa mjini..
 
Kabisa

Alafu nimesha sikia Google wana tabia ya kumfatilia mteja wao ata vitu unavopendela ku Google kuwauzia company husika taarifa zko

Na wao watakuletea Ads.
Google wanasikiliza mpaka maongezi yako kwenye simu.

Google ni data mine company, mwanzoni miaka ya 2000 - 01 kwenye kuajiri, walikuwa wanasisitiza sana watu wenye uzoefu wa data mining. Wakawa wanaweka cookies kwenye computer za watu kwa miaka 38 (kawaida ni wiki michache), mpaka wajuzi wakaanza kulalamika na ndipo serikali ikaingilia.

Hawakutosheka kucollect data kwenye mtandao wao, wakaanaza kugawa code za ku track watu (analytics) kwenye mitandao mbali mbali. Hata hii JF yetu inatumia google analytics. Hivyo ikawa siyo lazima kutumia google wao kuweza kuku track.

Jamaa wakaendelea kwa kutengeneza browser yao ya chrome ili waweze ku control ukusanyaji wa taarifa, kwa kila mtandao utakao tembelea.

Hawakuishia hapo, wakanunua android ili waweze kuwa na full control ya kila kitu kwa wateja wao, ndiyo maana nchi zenye akili zimeweka vizuizi wao kuendesha biashara zao kwao.
 
Wakati mwingine ujiwasha (ujiweka ON) kama hauna app ya kudhibiti app zako kwenye simu hasa zinazotumia Geo-location mfano, google map, google earth, ResponseGPS, GeoAreaMap, GPS Essentials, Maverick, Weather na nyingine kama hizo. Sony Experia (made in China) walikuwa na huduma ya kudhibiti app zinazokuwa installed kwenye simu.
Yani utumie app kudhibiti app nyingine? Sijaelewa.
 
Yani utumie app kudhibiti app nyingine? Sijaelewa.
Ndiyo Mkuu, Sony Xperia ( muhimu,made in China) walikuwa wameweka kitu kinaitwa "App access management( AAM)". Ulipokuwa ukiweka App hiyo kwenye orodha yakuwa monitored na AAM, hiyo app ilikuwa haifurukuti! Yaani hiyo app mpaka utaionea huruma...maana hata kuji'update' mpaka iombe ruhusa kutolewa kwenye orodha ya AAM. Siku hizi sina hakika, kama mfumo huo bado wanaendelea nao maana, ilifika kipindi Google Play waligoma kuruhusu apps zao kuwekwa kwenye simu za Sony zenye AAM.

Sasa kama nilikuwa nimeuziwa simu kimeo ndiyo mkuu unipe shule sasa maana IT siyo fani yangu kabisa.
 
Nitajaribu

Ila kitu kingine nilichokuja kujifunza izi apps zinazo tumia location kama apps zinazo pima umbali ect access GPS nazo kua nazo makini.

Safi sana, ila kuna mengine pia ambayo itafanya na ku-access kwenye simu yako. Muhimu sana kwenda kwenye settings za App husika na kubadili utakavyo.
 
Ndio maana Pompeo alipompiga ban makonda alisema wanainfo zote. Hahaha niliona kwenye simu yangu lkni sikukujua nini kinachoendelea nikapotezea.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom