KingPower
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 1,098
- 1,745
Habari za wakati wakuu natumai mu wazima wa afya
Husika na kichwa cha habari apo juu leo nimepokea email kutoka Google kuhusiana na my activity za Mwezi agust.
Baada ya kuziona activities zote akili ikaa sawa kumbe Google wanarecord sehemu zote unazopita
Iliniamsha hisia kidogo mpaka sehemu za miaka 5 iliyopita nililetewa ( kumbuka device kwa maana ya simu nimebadilisha kama 3 ivi) ila Email ile ile.
Cheki apo chini sehemu nilizo pita anakuonyesha Hadi restaurant ulizo kua unaenda, shopping za maduka niliyo kua naenda
Technology ni nzuri ina faida na hasara ila tunako endea sijui
Kama leo imenikumbusha sehemu nyingi nilizo pita ingawa sio sehemu zote nimezionesha apo chini
Muwe na wakati Mwema pia