Google walamba matapishi, blog za ngono kuendelea

Joined
Jun 3, 2014
Posts
28
Reaction score
16
Siku kadhaa baada ya kupiga marufuku picha za ngono katika blogs zote zinazotumia platform ya blogger (blogs za ngono zapata pigo toka kwa Google), kampuni ya Google imefuta maamuzi hayo.
Katika taarifa yake kwa vyombo vya habari Google imesema itaendelea na utaratibu ule ule wa kulazimisha blog za “kikubwa” kuweka geti kama linaloonekana hapo chini, ambalo litamjulisha mtembeleaji kuwa blog anayotaka kuingia ina maudhui tata.



chanzo: http://www.bofyatz.com/2015/03/google-walamba-matapishi-blog-za-ngono.html
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…