Google Pixel 8 Pro iko vizuri kuliko nilivyodhania

Pixel 8 pro itakuwa imeshuka sana kama sio laki 9 i don't know.
 
Google Pixel 8 Pro ukiagiza AliExpress bei inaanzia TSh 2,200,000/=
Ila ukinunua Tanzania bei inaanzia TSh 2,500,000/=, wengine wanauza hadi milioni 3 kwa version za 512GB na 1TB

Google Pixel 8 (plain) AliExpress inauzwa around TSh 1,600,000/=
Nikiweka vpn naingia oprion ipi kupata read aloud hio
 
Google Pixel 8 Pro ukiagiza AliExpress bei inaanzia TSh 2,200,000/=
Ila ukinunua Tanzania bei inaanzia TSh 2,500,000/=, wengine wanauza hadi milioni 3 kwa version za 512GB na 1TB

Google Pixel 8 (plain) AliExpress inauzwa around TSh 1,600,000/=
Hizi simu zinashuka gharama vibaya sana... 8 Plain sahivi 800k
 
Nunua iPhone wakuu achananeni na hizi maneno simu ni Samsung na iPhone ukitaka kuuza ni chap mno kuliko izo Google pixel
 
Hamna options zipo nyingi unachagua unayopenda. Haiwezekani kila mtu atumie Samsung na iPhone tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom