Maskini bhana 😂Laki 5 sim ya kazi gani bro halafu yenyewe itaniingizia sh ngapi... Mim natumia kitecno cha batan chenye opera min na maisha yanasonga...
Maskini bhana
Umasikini ni laana aisee 😂 tupambane kuondoa hii laana.Ni changamoto tu
TAFUTA PESA BOSS😁😄Laki 5 sim ya kazi gani bro halafu yenyewe itaniingizia sh ngapi... Mim natumia kitecno cha batan chenye opera min na maisha yanasonga...
Kiasi Gani hiyo pesa unayotaka niitafute tajiri yanguTAFUTA PESA BOSS😁😄