jerryempire
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 5,866
- 10,163
Sasa ya 6pro hata ukiwa gizani inafanya kazi fresh face id yake na battery tumia utumiavyo ukianza tumia saa 1 asubuhi utakuja kuchaji saa 4 usikuhatari 4xl ina face id sensitive sana, camera kali alafu nyuma kioo na body steel, RAM 6 na storage 128 gb ebwanaa eeh jamaa wanajua
Ebwanaaee mkuu usifanye niupgradesasa ya 6pro hta ukiwa gizani inafanya kaz fresh face id yake na battery tumia utumiavyo ukianza tumia saa 1 asubuh utakuja kuchaj saaa 4 usiku
"Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni".....huwa na waza sasa ukisha mnyonga haki yake unampaje?Hzo simu naziuza boss , primary situmii cause kila nayoshika naipiga bei , brand zingine ni kujaza megapixel kwenye Camera na Ram nyingi , Ila efficiency still ni changamoto , iPhone simu zao ni quality Sana ,mnyonge mnyongeni Ila haki yake mpeni
Basi hujui simu google pixel ni hatar sema iphone ni brand kubwa mpaka ije kuwa na mauzo kama iphone ni miaka kadhaa mbele ,kwa performance google pixel ni namba moja kila kona sema hardware ndo wanazingua ila software ni hatari 🔥🔥🔥Hzo simu naziuza boss , primary situmii cause kila nayoshika naipiga bei , brand zingine ni kujaza megapixel kwenye Camera na Ram nyingi , Ila efficiency still ni changamoto , iPhone simu zao ni quality Sana ,mnyonge mnyongeni Ila haki yake mpeni
Vipi Kariakoo zipo?sasa ya 6pro hta ukiwa gizani inafanya kaz fresh face id yake na battery tumia utumiavyo ukianza tumia saa 1 asubuh utakuja kuchaj saaa 4 usiku
kkoo zipo nenda china plaza kama unapenda used
Hzo simu naziuza boss , primary situmii cause kila nayoshika naipiga bei , brand zingine ni kujaza megapixel kwenye Camera na Ram nyingi , Ila efficiency still ni changamoto , iPhone simu zao ni quality Sana ,mnyonge mnyongeni Ila haki yake mpeni
iShip wao husifia tunadhani hapa unazungumzia 64MP za infinix.
mwaka huu iphone wameweka 48mp unadhani zinasogea hata kwenye 108 za samsung.
iphone wana utamaduni wao wa kuwachunga kondoo wake kuwaaminisha kwamba hakuna kitu bora ila kile chao tu,toka lini MP zikakosa maana kwenye camera???una camera ina 12mp just a single pinch picha haieleweki ni kitu gani.
Hzo simu naziuza boss , primary situmii cause kila nayoshika naipiga bei , brand zingine ni kujaza megapixel kwenye Camera na Ram nyingi , Ila efficiency still ni changamoto , iPhone simu zao ni quality Sana ,mnyonge mnyongeni Ila haki yake mpeni
Sawa shukran na nikitaka mpya napata wap?kkoo zipo nenda china plaza kama unapenda used
Mkuu kua serious.Full box 750 k mpaka 800k
used 700k kitu kama hicho
kama una budget ndogo unaweza kuchukua pixel 4 xl used ni 500k mpya 650 k hii nayo ni hatari tabu iko pale pale
Mbona android ipo ndogo sana au unaweza update to latest?Achana na hii kitu, kama una bajeti ya kununua iphone 11 au 12 please pita kwanza uchukue pixel alafu ukirudi tena kwenye iphone niite mbwa nimekaa paleeeView attachment 2380916View attachment 2380917
Naomba kujua mzee hivi hizo google pixel now kwa 5 kuendelea wameboresha display ya kioo ikawa nzuri kama samsungAchana na hii kitu, kama una bajeti ya kununua iphone 11 au 12 please pita kwanza uchukue pixel alafu ukirudi tena kwenye iphone niite mbwa nimekaa paleeeView attachment 2380916View attachment 2380917
Watafute hawa jamaa wanazo.nataka pixel mpya zinapatikana wapi?