Google Ni Noma Sana....!!!!

Google Ni Noma Sana....!!!!

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,258
Reaction score
22,140
Wakuu,
google nimewavulia kofia katika swala zima laku sync data. mwaka juzi kwa kipindi kifupi nilitumia android device ya bro wangu mmoja hivi ambaye kamwa sasa ni marehemu. kufanya configuration nilitumia Gmail acc yangu. sasa majuzi baada yamimi mwenyewe kuacquire droid gadget, nikaconfigure kwa kutumia the same gmail acc ambayo ndio still naitumia kwa sasa. aisee, within no time after syncing. nikashangaa kuna contacta 1000+, kuchek fresh imeleta hadi contacts zote zilizokua kwenye cm ya marehemu bro na watu wote ambao nilishawah kuwatumia email kwa gmail acc yangu. nlipochoka zaidi ni pale iliposync hadi images ambazo niliziupload kwenye blogs zangu kadhaa miaka hiyo mambo ya blogspot ndio yameingia. kwa haya, nimewavulia kofia google!
 
Yeah, mwenyewe inanisave sana haswa kwenye Google chrome, nikiweka windows mpya, History, Bookmarks, Themes, Addons na Settings zote zinajirudisha kama kawa... Love Google!
 
nikaconfigure kwa kutumia the same gmail acc ambayo ndio still naitumia kwa sasa. aisee, within no time after syncing. nikashangaa kuna contacta 1000+, kuchek fresh imeleta hadi contacts zote zilizokua kwenye cm ya marehemu bro na watu wote ambao nilishawah kuwatumia email kwa gmail acc yangu. nlipochoka zaidi ni pale iliposync hadi images ambazo niliziupload kwenye blogs zangu kadhaa miaka hiyo mambo ya blogspot ndio yameingia. kwa haya, nimewavulia kofia google!


Yeah, Love Google!

Wakuu Google over everything. Kuanzia OS mpaka system nzima. Jana ilikuwa birthday yangu nika-log in gmail nikifungua google nakuta Happy Birthday kama zile za wanasayansi au watu maarufu. Google is what we need
 
Yeah, mwenyewe inanisave sana haswa kwenye Google chrome, nikiweka windows mpya, History, Bookmarks, Themes, Addons na Settings zote zinajirudisha kama kawa... Love Google!

Ninaipendea hapo chrome. Niki login tu inarudisha settings. Plugins kila kitu.
Iko poa
 
Yeah, mwenyewe inanisave sana haswa kwenye Google chrome, nikiweka windows mpya, History, Bookmarks, Themes, Addons na Settings zote zinajirudisha kama kawa... Love Google!

Only problem is them recently tryna shove G+ in our asses! My G+ acc was suspended for some reasons and as a result i can't do sh1t on YouTube until its fixed!! Hail Google, 2 hell with G+
 
Only problem is them recently tryna shove G+ in our asses! My G+ acc was suspended for some reasons and as a result i can't do sh1t on YouTube until its fixed!! Hail Google, 2 hell with G+
Yeah, G+ inazingua, wanaforce mno, mpaka yule demu emma blackery aliwatungia nyimbo!
 
Last edited by a moderator:
Kumbukeni passwords zenu hazipo salama kwenye Google Chrome. Mtu yoyote anaweza kuangalia password ulizosave!
 
Back
Top Bottom