Google ndio muhimili wa wabongo wengi,hakuna matumizi ya ubongo kabsaa!

BAGAH

JF-Expert Member
Jan 17, 2012
4,523
1,058
mtu anataka:
kuandika barua ya kazi...google
kutoa speech...google
tempelate zoote...google
cv...google
hata naniliuuu...google
co mbaya ni search engine lakini tusilemae sasa!

af ukigoogle edit basi kidogo uweke na pumba zako humo...hamna...waaaa copy n paste...
na maboss tulio nao Google mtupu...
 
Km una calculator kwanini uhangaike kutumia kichwa kupiga mahesabu???
Mambo yamerahisishwa wacha tule gud time wabongo....na tusivyopenda shida....kush ney
 
Dah, umeni tachi.. Ngoja nijirekebishe ingali bado mapema..!

ila siyo wabongo tu tulioathirika na hilo, ni dunia nzima..
 
Km una calculator kwanini uhangaike kutumia kichwa kupiga mahesabu???
Mambo yamerahisishwa wacha tule gud time wabongo....na tusivyopenda shida....kush ney

duh ndio hata 2x2??alah!tehe
 
Dah, umeni tachi.. Ngoja nijirekebishe ingali bado mapema..!

ila siyo wabongo tu tulioathirika na hilo, ni dunia nzima..

ni kwel dunia nzima...
ila athari kubwa kwa cc dunia ya 3
 
wangu hii kitu kwa jinsi navyojua cc wamatumbi hatupendi mashida...lahaulah

Sijui ingekua vipi bila google.. Sema copy and paste mbaya sana.. Tujifunze kuwa creative!
"Changes begin with you.." so my dia anza kuonyesha mfano! Wengine tufuate.
 
I luv google!! imenisaidia kwenye field report na kwenye kuandika reseaerch ....... bila google sijui ingekuaje.
MP.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom