Erickb52
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 18,539
- 11,442
Hahahahaaa kwa hiyo simo ila nikitu ia kichwa kusolve 20-0 ntapata =2 ila nikitumia google au calculator ntapata 20-0=20duh ndio hata 2x2??alah!tehe
umeona eeeh
Hahahahaaa kwa hiyo simo ila nikitu ia kichwa kusolve 20-0 ntapata =2 ila nikitumia google au calculator ntapata 20-0=20duh ndio hata 2x2??alah!tehe
Sasa BAGAH mi sijakuelewa !
Unatulaumu au unatuhamasisha tuzidi kujikita kunako google !
Nina Ng'ombe wangu zizini then nikanunue Madhiwa ? Haiyumkiniki !
Kuchambua vya kuchambuliwa kutoka Google kunataka ubongo wa ajabu.
Nilishawahi kufanya research work ya taarab kwa msaada wa internet kwa 70% and you'll never realize.
Copy n' paste ndio ukilaza, ila kufanya google kuwa kama maktaba hakuna ubaya.
Musiwe kama wale maprofesa wa sheria pale UD ambao hawataki reference za mtandaoni, wanataka vitabu vya makaratasi tu. Na sie twasonga nao hivyo hivyo!
hahahahaa...kwa iyo una degree ya kugoogle man
google ikishut down vyuo vikuu tanzania vinafungwa!