Google na Whatsap

Google na Whatsap

TKNL

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2012
Posts
628
Reaction score
588
DbY86rVXkAAPAnw.jpg:large
 
Bado wanampango wa kudhibiti uncontrolled VPN zote
China will block all non-approved VPNs from next month | TechRadar

tatizo ujuaji wa kudhani kupinga kila anachosema au mfano anaotoa kiongozi wa nchi ni sifa mitandaoni.
katika hilo yuko sahihi, labda tuseme tu sisi asitufanyie mambo ya china.
Hakunaa,nina jamaa zangu kama wa 3 hivi wanaishi china na mwingine katoka juzi hapa,tunachart kwa wasap kila siku,wala hata hiyo unayoita VPN hawaijui maana yake nini?.Acha ku google unreliable sources ukajiona unajua.Tafuta mtu yeyote anayeenda china thena akifika kule mtext watsap uone.Acha habari za kuambiwa brother
 
VPN AU ROOTED DEVICES
Hakuna ndugu,watu wanenda Guangzhou kufanya business tunachart nao watsapp kama kawaida,Hiyo sijui VPN hata hawaijui,am sure of that na washangaa sana tunaposema china hakuna watsapp.
 
Hakuna ndugu,watu wanenda Guangzhou kufanya business tunachart nao watsapp kama kawaida,Hiyo sijui VPN hata hawaijui,am sure of that na washangaa sana tunaposema china hakuna watsapp.
tatizo watu wana jua sana mpaka wanakela... ndio maana wanaishia kudesa... lakini kichwani hamnazo... hawana akili za kupambambanua mambo mpaka wagugo... ilikuwa ni suala la kuuliza na kupata majibu... kabla haja post... hili suala la kufunga au kudukua hata Max melo aliwahi kuzungumzia humu jinsi gani china wana hangaika na mafanikio ni madogo... simu fake zime zimwa tanzania lakini wapo wanao tumia na hawajui codes wala vpn.... tuna TBS TFDA nk lakini vitu fake vina tufikia watu wa mwisho au walaji...

hacha wafu wazikane...
 
Hakunaa,nina jamaa zangu kama wa 3 hivi wanaishi china na mwingine katoka juzi hapa,tunachart kwa wasap kila siku,wala hata hiyo unayoita VPN hawaijui maana yake nini?.Acha ku google unreliable sources ukajiona unajua.Tafuta mtu yeyote anayeenda china thena akifika kule mtext watsap uone.Acha habari za kuambiwa brother
kuzuia ushoga haimaanishi hakuna mashoga nchini.
kuzuia kulima bangi haimaanishi bangi hailimwi.
kulingana na Open Observatory Network Interference (OONI) ambao kazi yao ni kufuatilia mambo haya kuanzia september mwaka service providers walianza kufunga baadhi ya maeneo.
wakati fb imefungwa tangu 2009 lkn hadi 2013 wabongo wanapost fb wakiwa huko hadi sasa nadhani. Hilo halibadilishi ukweli kwamba kwa historia ya nchi yao lazima wafanye hasa kudhibiti wanaoibuka na kudai uhuru,kudai mifumo mipya ya kiutawala.
CC
wapigania uhuru wa Jimbo la Xingjiang walikuwa wanatumia FB kama platform yao ya mawasiliano na kuleta chokochoko ktk utawala wa kikomunist.

Pamoja na yote siungi mkono kufunga mitandao hapa kwetu maana inatufanya tunakuwa updated.
sio lazima tufanane mawazo lakini mkuu,
 
China wana wenchat ambayo unaweza wewe kuwa hapa na whatsup yeye wenchat mnachat tu ila pia sio china nzima imezima whatsup au facebook au google kuna majimbo na majimbo. Hongkong shenzhen macau na shanghai na beijing wanazitumia ila miji mingine haipatikan wanatumia baidu ndio google yao. Lakin pia wachina wenyewe by nature wanapendelea zaid vitu vyenye utamaduni wao. Nimetoka fujiang jana so naongelea ninachojua. Kitu cha muhim tunatakiwa tujidanganye tukajifananisha na wachina cc na wao ni kifo na usingiz
 
Back
Top Bottom