๐—š๐—ข๐—ข๐—š๐—Ÿ๐—˜ ๐— ๐—˜๐—ฆ๐—ฆ๐—”๐—š๐—˜ ๐—œ๐— ๐—˜๐—ฃ๐—”๐—ง๐—” ๐— ๐—”๐—•๐—”๐——๐—œ๐—Ÿ๐—œ๐—ž๐—ข ๐— ๐—”๐—ฃ๐—ฌ๐—”

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,349
Reaction score
2,757


Google Messages imeanza kusambaza mabadiliko mapya ya namna ya kuangalia muda wa ujumbe uliyotuma au kutumiwa na kujibu ujumbe moja kwa moja kwa njia rahisi.

Kupitia update mpya ya Google messages version ya 20260910_03_RC02
Program ya Google Messages imefanya mabadiliko kadhaa mapya kwa watumiaji wake ๐Ÿ‘‹.

Kupitia kutelezesha ujumbe kushoto unaweza kuona muda uliotumwa, au kutelezesha kulia kujibu ujumbe huo moja kwa moja. ๐Ÿ˜๐Ÿ“ฑ



Sogeza picha kuona zaidi Usisahau kutu follow bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐ŸŽง || Teknolojia ni Yetu sote ๐Ÿƒ



Ni mabadiliko madogo, lakini yanafanya matumizi ya Messages kuwa rahisi na ya haraka zaidi! ๐Ÿš€ Umeipata update hii tayari tayari kwenye simu yako? Tuambie kwenye maoni! ๐Ÿ‘‡
 
Ndio lakini bado sio fancy and classic kama imessage
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ