Google imebadili logo yake baada ya miaka 10

Google imebadili logo yake baada ya miaka 10

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,221
Reaction score
2,425
1_20250513_194424_0000.png

💭 Kampuni pendwa ulimwenguni Google imefanikiwa kubadilisha logo yake yenye nembo ya G kwa kuweza kuweka muundo mpya kwa kuweka rangi katika muundo wa soft transition style.

2_20250513_194424_0001.png

💭 Japokuwa Rangi Bado zitabaki vile vile lakini muundo huu mpya imewekwa inafanana na style ya Rangi ya mtandao wa Instagram.

3_20250513_194424_0002.png

Unasemaje kuhusu mabadiliko haya !!!!
 
Attachments

  • 4_20250513_194424_0003.png
    4_20250513_194424_0003.png
    384.4 KB · Views: 12
View attachment 3332903

💭 Kampuni pendwa ulimwenguni Google imefanikiwa kubadilisha logo yake yenye nembo ya G kwa kuweza kuweka muundo mpya kwa kuweka rangi katika muundo wa soft transition style.

View attachment 3332904

💭 Japokuwa Rangi Bado zitabaki vile vile lakini muundo huu mpya imewekwa inafanana na style ya Rangi ya mtandao wa Instagram.

View attachment 3332905

Unasemaje kuhusu mabadiliko haya !!!!
Mimi naionea huruma inavyoenda kuuza chrome kisa maamuzi ya mahakama. imetumia miaka mingi kuifanya iwe web browser yenye watumiaji wengi zaidi leo wanaenda kuiuza kwa lazima... Pia chrome OS
 
Chatgpt kaja kuitia kidole gugo, siku hizi gugo sio ishu tena.

Gugo ukiiuliza swali, inakupeleka kwenye website.

Chatgpt ukiiuliza swali, inakujibu na kisha inakupeleka kwenye website.
Na inakuuliza km umeridhika na majibu 😁
 
Back
Top Bottom