Papi Chulo
JF-Expert Member
- Jun 8, 2018
- 6,260
- 7,398
Je, Google drive ni nini?
Ipo kwa kazi gani?
Inafaa kwa matumizi?
Naomba pia mnipe maelezo ya ziada kuhusu Google Drive.
Kuuliza ili kujua si ujinga, ujinga ni kubaki na kutokujua wakati unaweza kuuliza watu wakakujuza ukajua.