Public Enemy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2011
- 3,062
- 3,620
Wakuu habari ya muda huu, ninapatwa na shida hii katika Laptop HP 630 CORE I3. Chrome pamoja na chromium zote hazifunguki. Zinaleta ujumbe huo. WINDOWS INTERNET EXPLORER INAFUNGUKA LAKINI HAIFUNGUI SITES NINAZOTAKA. Naombeni msaada.