Google chrome inazingua!!!

MtuMmoja

Member
Aug 30, 2011
77
12
Wataalamu naomba mnijulishe hili tatizo sababu zake ni zp!natumia chrome kama default browser yangu,lakini nikifungua facebook ,ile page hai display yote yaani inaonesha ile ribbon ya facebook,my profile,find friends, na home bila ya kuonesha profile picture yangu na full page!!hata niki click my profile inaniletea kitu hikihiki!!nimejaribu internet explorer iko fresh,nimejaribu version nyingine ya chrome bado ina zogoa!!
For real chrome is my best web browser hizi nyingine naona miozo tu,so hii inasababishwa na nini wakuu?
AHSANTENI!!!
 
FaizaFoxy

JF-Expert Member
Apr 13, 2011
73,771
74,420

Tumia FireFox
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom