Hivyo nikishaunga bundle nikuchek?Ohoo. Thou sio poa sana but kama windows 8 inarun na una enjoy hata windows 10 can.
Inabidi ujiandae na Bundle kama GB 5 kisha ntakuelekeza namba ya kupata hiyo updetor
Zala Na Nga
Mimi nina pc ina ram 4gb na processor yake weak sana ni N3700 na 1.6ghz, lakini ninatumia chrome na naweza fungua hata tab kumi na sijawahi kukumbana na tatizo kama hilo
Hii Microsoft Edge safi sana kwa kweli. Nilikuwa naichukulia poa mwanzoni ila baada ya kuachana na chrome naenjoy sana saivi na hii browserHakika edge kwa windows 10 iko vyema, nyepesi na haitumii RAM sana kama ilivyo kwa google chrome, japo zote source code zinatokana na chromium
View attachment 1412623
Kuna virus mmoja anaitwa coinminer akiingia kwenye pc ndio kazi yake. Ukiingia mtandaoni pc inakuwa nzito ghafla.Kwa pc jaribu kutumia edge mpya,
https://support.microsoft.com/en-us/help/4501095/download-the-new-microsoft-edge-based-on-chromium
Na mkuu siku hizi mambo ya bitcoin na mining kuna uwezekano mkubwa wa kuwachimbia watu cryptocurrency bila wewe kujua, ukiona tu browser inakula resource nyingi bila kutumia chochote ujue una mgodi.
Ndio mkuu, wanakuwa design hioKuna virus mmoja anaitwa coinminer akiingia kwenye pc ndio kazi yake. Ukiingia mtandaoni pc inakuwa nzito ghafla.
Amesema pcHaujasema kama ni kwenye simu au desktop, Chrome ni nzuri sana na naitumia katika kila kitu ikiwemo development.
Kwa siku nafungua tabs kama 30 hivi ninazozitumia.
Huwa natumia tab suspender ili nikizifungua nyingi nachagua zipi ziwe suspended ili zisitumie memory nyingi.
Ni kweli.Inashare addons na chrome, hata store inatumia hio hio ya chrome
Kwangu ina stuck nikifungua na programs nyingine nzito.Mimi nina pc ina ram 4gb na processor yake weak sana ni N3700 na 1.6ghz, lakini ninatumia chrome na naweza fungua hata tab kumi na sijawahi kukumbana na tatizo kama hilo
Bahati mbaya hii browser haiwezi ku sync na browser ya simu na PC.Hakika edge kwa windows 10 iko vyema, nyepesi na haitumii RAM sana kama ilivyo kwa google chrome, japo zote source code zinatokana na chromium
View attachment 1412623
Na uzuri mwingine kwa waweza weka any extension ambayo ulizoea kutumia katika google chrome
View attachment 1413391
Futa cache hizo.Mimi naitumia sana hasa nikitaka kuchukua picha ya kitu flani.
Opera mini naitumia kupakua audio za mziki tu.
Tapatalk nayo inakula sana MBs pamoja na power.View attachment 1414147
Huwa nasahau, tena Telegram ndo zinakuwa nyingi mpaka GB
Kwa pc jaribu kutumia edge mpya,
https://support.microsoft.com/en-us/help/4501095/download-the-new-microsoft-edge-based-on-chromium
Na mkuu siku hizi mambo ya bitcoin na mining kuna uwezekano mkubwa wa kuwachimbia watu cryptocurrency bila wewe kujua, ukiona tu browser inakula resource nyingi bila kutumia chochote ujue una mgodi.
Aise kumbe kuna tofauti kati ya operamini na opera browser??Binafsi sipendi operamini na chrome kwenye Simu, napenda kutumia Opera Browser,ipo vizuri kuliko operamini