Tupo pamoja mkuuMkuu asant kwa moyo huo kuchukua muda wako kuihudumia jamii for free.
Endelea kuwa na moyo huo mola atakuzidishia[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Lakini bado sijafanikiwa imeniandikia hivi
Hii s6 yako ina Android version ngapi?Lakini bado sijafanikiwa imeniandikia hiviView attachment 1894559
Nahisi ndo itakuwa hiyo 5.1.1
5 nyuma sana mkuu...gcam inaanzia android 7 mkuu.. hivyo simu yako.inatakiwa iende hadi 7 ndio utaweza weka gcamNahisi ndo itakuwa hiyo 5.1.1 View attachment 1894563
Ok kuna namna ambayo naweza kufanya ili iende hadi hiyo version 7.5 nyuma sana mkuu...gcam inaanzia android 7 mkuu.. hivyo simu yako.inatakiwa iende hadi 7 ndio utaweza weka gcam
Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
Inawezekana sema ni process kidgo ya kitalaamu..lazma uwe na pc ,na idea ya kuflash simu kidgoOk kuna namna ambayo naweza kufanya ili iende hadi hiyo version 7.
Au ndo basi tena, nitakuwa nimekosa kitu kizuri[emoji24][emoji24][emoji24]
Sawa unaweza kunielekeza ili angalau niende kwa hao wa taalum wakanifanyie hiyo process.Inawezekana sema ni process kidgo ya kitalaamu..lazma uwe na pc ,na idea ya kuflash simu kidgo
Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
Nenda tu kwa fundi simu anaefanya software atakupandishia hadi 7Sawa unaweza kunielekeza ili angalau niende kwa hao wa taalum wakanifanyie hiyo process.
Sorry ndo kitalaamu wanaitaje creck najua siko sahihi ila kuna neno linatumika sijui neno gani limenitoka kidogo.Nenda tu kwa fundi simu anaefanya software atakupandishia hadi 7
Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
Unaongelea kitendo gani mkuu?Sorry ndo kitalaamu wanaitaje creck najua siko sahihi ila kuna neno linatumika sijui neno gani limenitoka kidogo.
UpdateNahisi ndo itakuwa hiyo 5.1.1 View attachment 1894563
Mkuu msaada wako kwenye hii comment yanguMimi natumia redmi 9c kamera ipi IPO compactible kwangu naombeni nipeni link ya APK inayofit simu yangu.. naona maelezo mengi ni yakitaalamu yamenizid NAOMBA kukiri
kcamp
Chief-Mkwawa
Nitumie tu mfano labda mtu anauza software flani lakini kuna mwingine hiyo software hanunui sijui anafanya process gani.
Mkuu simu yako ni MTK ,sasa kupata gcam humo ni kipengele...jarbu hii nnayo kupa..sio gcam yenyew kabisa...ni light version ya gcam kwa visimu vya mtkMkuu msaada wako kwenye hii comment yangu
kcamp
Crack mkuuNitumie tu mfano labda mtu anauza software flani lakini kuna mwingine hiyo software hanunui sijui anafanya process gani.
kuna namna flani ya kuipakua namanisha inakuwa haiko original kama ile ya mtengenezaji.
Hahika mkuu ndo hilo neno lililokuwa limenitoka crack[emoji120]Crack mkuu
Kazi yako haiitaji cracked software wala nn...tool ya bure kama odin inafanya hiyo kazi vzr tu
Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
Afu pia kuna simu ya tecno hai support otg,Crack mkuu
Kazi yako haiitaji cracked software wala nn...tool ya bure kama odin inafanya hiyo kazi vzr tu
Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
Kama haisupport itakua ngumu...otg kuitumia lazima simu yako by default iwe ina support otg mkuuAfu pia kuna simu ya tecno hai support otg,
Je kuna namna yoyote inaweza kufanyika ili isupport otg.thx
Mkuu hivi Pixel binning ina msaada upi kwenye ubora wa picha? Nimeiona hiyo option kwenye Nikita V 2.0 kwenye ExperimentalKama haisupport itakua ngumu...otg kuitumia lazima simu yako by default iwe ina support otg mkuu
Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app