Habari, Mimi nimejisajili na Google AdSense na inekubali, kwenye dashboard yangu ya malipo ni 0% nina maana kwamba hata pale kwenye neno Add Payment Method hapa-view, eti mpaka nifikishe $100 ndio nianze kulipwa. Je, matangazo ya kuweka katika blog yangu ili nifikishe $100 ninakuwa nayatoa wapi au Google wanakuwa wananitumia au yanakuwepo automatic katika account yangu ya AdSense? Wataalam naombeni msaada kunielewesha.
Sent using
Jamii Forums mobile app