Google adsense na propeller ads kipi bora?

UJUE KUNA TOFAUTI SANA KATI YA ADSENSE YA KIPINDI HICHO NA ADSENSE YA KIPINDI HIKI YANI WAKATI HUU.....KIPINDI HIKI ADSENSE HAKUNA TRICK TRICK ZA KUPIGA HELA YANI WANATAKA UPIGE KWA HALALI MAANA ADSENSE ZA KIPINDI HICHO WATU WANAPIGA PESA KWA TRICK TU.. SASA WALE WALIOKUWA WANATUMIA TRICK KWA KIPINDI HIKI LAZMA WACHUKIE TU..... ADSENSE AM SURE KAMA MTU UKIFATA SHERIA NA UKAPIGA KAZI MAANA WAO KILA KITU WANAONA JINSI VISITOR WANAVYOINGIA KWENYE SITE YAKO NA JINSI WANAVYO CLICK CDHANI KAMA UTAFUNGIWA KAMA UKIFATA SHERIA
 
Duh, bora niendelee na AdSense maana nawaheshimu sana watembeleaji wangu, sitaki kuwapoteza
Shikamoo... Google wanastahili kukupa award! Binafsi, kwangu ni visitors kwanza na mengine baadae! I hate ads zote zinazosumbua visitors.
 
Adsense natumia tangu October 2013, kilamwezi tar 22 natoa mpaka USD 500 juzi niliwauliza kuhusu traffic ya fb wakasema haina shida ngoja nikutumie hizo tweets
ok ndugu.. mimi hizo dollar 500$ kwa adsense nilikua nazipata ndani ya siku mbili.. propeller haina disabled na dollar 500$ nazipata within 3 or 4 days.. Ujue niliona site yako imeishia page ya 30 nikajua ni mpya.. but kama hiyo adsense toka 2013 hawajakufungia haina shida...Pia nadhani kama unapiga dollar nyingi ndio unakua kwenye hatari ya kufungiwa.. kuna jamaa nawajua kibao wamefanya clean blogging but bado account zinafungwa.. Adsense nilianza 2010 ila kwa sasa imenishinda kabisa sheria zao zimekua ngumu na wanafunga account bila sababu za msingi..
 
Site yasasa ni Mpya nilibadili domain nikahama na platforms ila account ya AdSense ni ile ile mkuu
 
Kwa watembeleaji wangu ambao wengi wanatoka bongo nadhani propeller watakuwa wananilipa chini ya dola 5 kwa siku
 
Kwa watembeleaji wangu ambao wengi wanatoka bongo nadhani propeller watakuwa wananilipa chini ya dola 5 kwa siku
Wewe pesa unapokea kwa njia gani au Western Union ?
 
Kwa watembeleaji wangu ambao wengi wanatoka bongo nadhani propeller watakuwa wananilipa chini ya dola 5 kwa siku
propeller kwa bongo haifai kabisa cpm ni ndogo sana 0.1-0.9 kwa utafiti mdogo niliofanya..Komaa na adsense upepo kwako naona ni mzuri..
 
Weka linki ya site yako kaka yuione...[emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Mwenye AdSense non hosted nahitaji tuwasiane 0687535650
 
Jamani mimi nina-app inapata viewers 85000-100,000 kwa siku lakini, napata dollar 10-15 kwa siku tatizo nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…