Google Adsense, how does it work

Mseriandy

Member
Mar 27, 2011
35
6
naomba kujua hawa watu wenye mablog au website jinsi wanavyoweza kufaidi na Google adsense.

Kama mtu ana website yenye google PR 2, PR 3 and PR 4, je anawezaje kugenerate income through google adsense.
 
Ukiwa na blog/tovut inayokidh mashart yao unachokifanya ni kuwasaidia google kutangaza matangazo ya wateja yao kwa kuyaweka kwenye site yako. Kuna matangazo ya aina kama 5 hivi 1. Adsense for Content ambayo yanaweza kuwa na picha au mandishi 2. Ad Links hizi ni link ambazo unaweka kweny site 3. Adsense for Search, hii ni search box ya google 4. Games Ads 5. Video ads. Malipo yapo ya aina kuu 2 kuna Pay per click na nyingine ni ya tangazo kuonekana. Mtu akiclick unalipw kulingana na dau la mteja wao.
 
Kama una blog ya google yan yenye extension ya .blogspot.com ingia kwenye akaunt yako then tafuta Adsense utapata maelekezo yote na utafungua akaunt yako ya adsense. Kama hauna blog lakin una domain yako mara nyingi top level domain nenda www.google.com/adsense hapo uta appllay then adsense team itapitia maombi yako. Kama website yako ikikubaliwa utaweza kuaccess akaunt yako na kuweka codes zako katika page unayoitaka inayokidh mashart yao. Kila code ina unique ID ucweke code isio yako ukamfaidsha mwenzio
 
Back
Top Bottom