goodmorning jamani

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
51,049
22,249
habarini za asbh wapendwa si haba kumshukuru mwenyezi mungu mjaza neema ndogo na kubwa ndefu na fupi nene na nyembamba kwa kila amwitae.....yamkini aijulikani wewe umandikiwa ipi kati ya hizo wiki hii nawatakia week njema ya mafanikio na baraka si haba kukumbushana jamani tulete vinavyolika tusiwakimbize na watoto jamvini wengine wameanza kuvaa miwani na miaka 8 kwa ajili ya jf kuangalia vicivyomezeka haya wenye macho awaambiwi tazama
 

Thanks Pdidy....tutajitahidi!
 

Asante Pdidy naona siku hizi mamsap amekubadilisha kweli kweli umeacha zile sredi zako za mfululizo in 30 min sredi 40 za weekend ?
 
Chukulani nyie wote.
Njomba nchumali, kaka chipoko, na yule ntoto wangu mpya anayeitwa chikilini wanawachalimia chana.
Habari ja lelo
 
Kila mtu huwa ana flavor yake, sijui mwenzetu unachotaka ninini make kila kitu tunacho.
 

ushauri mzuri!
 
Asante Pdidy naona siku hizi mamsap amekubadilisha kweli kweli umeacha zile sredi zako za mfululizo in 30 min sredi 40 za weekend ?


si unajua nilikuwa likizo ya uzazi miezi sita imefika mama nikajifanyia kasherehe mwnyewe kama bikira we acha tu nilishindwa tu kuwa wazi ..sasa nalea mama ila nashukuru mungu nimeanza kuonjeshwa haki yangu mwenye masikio aambiwi sikia
ahsante mama nahisi ulikuwa kwenye maombi yangu ya kila siku mwenzio niliambiwa miezi mitatu lakini mtoto mwingine mpaka 7mth nk sasa nikaona loh isiwe taabu nisimbemende mwanangu wacha nichukue ID YA lazima 6mnth...wee alisikia kama anatolewa mwingine jumatatu njema bibie
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…