Goodbye, my love: Celine Dion kisses her husband René Angélil's coffin as the singer and her childre

englibertm

JF-Expert Member
May 1, 2009
9,252
6,208
3072D87500000578-3410630-image-m-53_1453453228171.jpg
,
307128C500000578-3410630-His_farewell_The_music_manager_lay_in_an_open_casket_as_fans_pou-a-102_1453413986156.jpg
,
30716D4600000578-3410630-image-a-191_1453416817237.jpg
,
3071586D00000578-3410630-A_prayer_before_the_last_farewell_The_singing_sensation_approach-m-179_1453416636233.jpg
,
307C1B2500000578-3412592-image-a-10_1453508047924.jpg
,
307A8AF700000578-3412592-image-a-44_1453496084374.jpg
,
307A8B0300000578-3412592-image-m-49_1453496111013.jpg
,
307C1F8600000578-3412592-image-a-6_1453508026868.jpg
,
307C1B3B00000578-3412592-image-a-8_1453508040268.jpg
,
307C15EE00000578-3412592-image-a-12_1453508058021.jpg
,
307A7F6000000578-3412592-image-a-32_1453494622403.jpg
,
307AAEA400000578-3412592-image-a-63_1453496925925.jpg
,
307AC0F400000578-3412592-image-a-69_1453497596425.jpg
,
307AAEC000000578-3412592-image-a-61_1453496902572.jpg
,
307C1BFB00000578-3412592-image-a-1_1453507821471.jpg
 
47. Si mzee, wadhungu huwa wanakongoroka mapema si kama sie waswahili utakuta mtu ana miaka 50 lkn ukimcheki utadhani ana miaka 30.
Wazungu wanakongoroka mapema kuliko waswahili? Nadhani umejibu ili uendane na swali alilouliza jamaa hapo juu. Ukweli na uhalisia ni kuwa waswahili tunakongoroka mapema.
 
hapana siyo madawa ni kwa sababu ya maumivu ..... kufiwa na mtu unayempenda alafu fahamu pia amefiwa na kaka yake
Mkuu Celine ni mtumiaji mzuri tu wa mihadarati cku hizi, fuatilia recent taarifa zake uone!
 
She is stong. Angekuwa ni mwanamke wa kiafrika hasa wa kitanzania...ni kulia, kujigaragaza na kuzimia
 
Haki zote zimehifadhiwa.ila hiyo picha ya mwisho inayomwonyeshe huyo kijana hapo ni mtoto wake ama
 
She is stong. Angekuwa ni mwanamke wa kiafrika hasa wa kitanzania...ni kulia, kujigaragaza na kuzimia
Wale wanajigaragaza kwa kiwa wengi ni ma goalkeepers, hawajui kifuatacho,lakini lwa hao no kwamba kila mmoja mfuko umenona
 
...Celine amekua akimuuguza mume wake for two years alikua anakula kwa kutumia mpira.Sasa msije na stori zenu nyepesi huku sijui anatumia mihadarati sijui nini.Na kuhusu kipato chake eti kitapotea/kimepotea,haya ni mawazo ya kimaskini ambayo wabongo wengi wanayo,sio kosa kufikiria shibe wakati umezungukwa na njaa!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom