Goodbye my friend

Dah bastola,sumu kabaang! Tutawajuaje kama ni wake za watu sasa?

hiyo ndio balaa......hata sisi tunapata shida sana kujua kama mmeoa......Dah...pole sana sokwe......mapenzi yameshakuwa shubiri sasa haya..........
 
Last edited by a moderator:
ukitaka uishi vizuri hapa duniani ogopa ivi vitu 2
1. mke wa mtu
2. dhulma
 
Pole Sana msiba unauma.Ila endeleeni kupeleleza isijekua akikua na ishu nyingine tofauti na hiyo.
 
Ila kuna mijitu ina roho ngumu, kama na wao hawatokufa vile
 

pole sana kaka,mungu akupe faraja,kwa machungu unayopata!
 
Huwezi kututajia isije kuwa ni rafiki yetu na sie ila habari hatujapata.
 
Hapana haitakuwa busara kutaja jina lake hapa, ila alikuwa mhandisi kwenye mgodi shinyanga, nilizungumza nae Kama siku 5 zilizopita tumeongea mengi kuhusu maisha na kuonyesha ni mwenye furaha na ndoa yake na career yake, nikamuahidi kwenda kuwatembelea nikianza likizo, inauma sana, Asante preta! Mzima lakini?
 
pole kwa kuondokewa na rafiki mkuu,.

''liwe somo kwetu sote'
 
Apumnzike kwa amani,mgodi upi?isije kuwa namfahamu
 
hivi hapa duniani kweli hakuna vifo vya kizembe?
ni kweli kuwa vifo vyote ni mipango ya Mungu tu?
 
Alikuwa akifanya kazi bulyanhulu gold mine.
 
Duh!

Pole sana nani,

Sent from BlackBerry 9520
 
pole sana kamanda. Mungu akupe subira ktk hiki kigumu cha kufiwa na rafiki yako. kila roho itaonja mauti. bwana ametoa, bwana ametwaa, jina la bwana lihimidiwe. amin.

Hapo ni Bwana ametoa Mwenye mke ametwaa , sio kila kitu mumsingizie MUNGU.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…