Good old days

Sisi wenye kg 56 tusemeje
 
Watu tuna pima uzito mpaka mzani unaandika to be continued...
 
Nitumie Soft copy ya kitabu unachopenda sana na mimi nitakupa muongozo hakuna cha bure mkuu
You got it. Ushindwe mwenyewe kusoma kipo hapa hapa jf nilikianzishia uzi
 
Asante 😊nitapita huko🙏
 
Badili menu yako, punguza kula bites, vitu vya sukari sana na vya wanga.

Mazoezi pia ni muhimu hata kama kg zinazidi. Yanasaidia kukufanya uwe mwepesi hata kama uzito ni mkubwa.

Nashukuru mwili wangu unapokea mabadiliko chap nikifanya mazoezi ndani ya mwezi tu naona mabadiliko makubwa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…