Good old days

Mambo vipi, haha bana wewe unalalamikia nini, mimi ndio ninaanza kununua mafuta ya kula na bado nikikunywa maji tu ninaongezeka ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Mimi nikisimama tu uzito unakwenda juu. Ila kweli mashavu tu ndio yanakula hela, mwili unabaki pale pale. Wewe bado una sura nzuri, usilie sana, kuna wengine tunataka kupungua tu hatuwezi ๐Ÿ˜…
 
Unapotuambia mauzito yako unataka sisi tufanyeje?
 
Side chick ni kitu gani mjukuu? Bibi yako hawezi kupiga vitu nikawa nae asee!
Yani nimeandika side kick, ukatafsiri ni side chick, unanipima we mzee ๐Ÿ˜ƒ

Hee kwanini sasa? Anaweka kwa tumbo yako?๐Ÿ˜… basi kama hapigi huyo ndio unayefanana naye babu.
 
Yani nimeandika side kick, ukatafsiri ni side chick, unanipima we mzee ๐Ÿ˜ƒ

Hee kwanini sasa? Anaweka kwa tumbo yako?๐Ÿ˜… basi kama hapigi huyo ndio unayefanana naye babu.
Siku zote najua wewe na Espy_ ndio mfanano wangu, nikiwaona nyie najiona kabisa!๐Ÿ˜…
 
Simsikilizi kwanza nshamuacha huko ndani sirudi atajijua mwneyewe ๐Ÿ’ƒ๐Ÿฝ๐Ÿคธ๐Ÿฝโ€โ™‚๏ธ
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Malizia w.end mama.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ