Good night friends

Good night friends

octavianfranc

Member
Joined
Oct 26, 2018
Posts
7
Reaction score
9
666
IMG_20181117_222202_729.jpeg
 
Namba 666
Hesabu ya kibinadamu hii.

666 Mnyama.

Pamoja brother kaka,

Mimi nipo namalizia nyagi yangu hapa.

Baamedi rangi fanta kama Toto la kisandawe linaning'ata Skio Ati limeshaandaa kitanda kilichotandikwa mistari ya kimisiri na kuwekewa Manemane,Udii na Mdalasini kisha tufurahishe Nafsi zetu kwa Mahaba.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom