Good/Nice guys finish last

Good/Nice guys finish last

Daby

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2014
Posts
34,961
Reaction score
80,192
Huu ndio ukweli halisi wa maisha hasa kwenye mahusiano. Good or nice guys are too kind, considerate, understanding, calm, not aggressive and cooperative.

Mfano hapa JF watabaki kulike na kutaniana na mrembo wanaemwelewa ila kuzama pm au ku-make move ya kukutana au kupewa namba wanachelewa. Wanawake hawahitaji mtu mstaarabu, mwelewa elewa au wabaridi. Wanahitaji mtu anayeweza kubreak rules.

That's why wahenga wakasema Nice guys finish last. Utasubiria akuambia chukua wakati wenzako wanajitafunia....akija kukubalia ameshaachana na wengine huko. Kashachoka.

Don't be a nice guy la sivyo utaachiwa makombo.
 
Ukwel kabisa,,,,,

Mwanaume unatakiwa kuwa rude,,,,
Mtu flan hueleweki, hutabiriki ,,,, usimpe nafasi mke/mpz wako akuelewe ama azijue ratiba zako zote !

Ukiwa kunako sasa, uchungaji weka pembeni endesha gari haswa, piga kama unaua nyoka !
 
Yaani tena usithubutu kabisa don't be nice

Wanawake wanapenda Ujinga Ujinga + masihara utani Kwa sana ndio unaweza kuwapatia Ukiwa serious sana mtu wa Imani Kwa sana unaleta u-gentle mpaka ktk kukulana itakula kwako
Ulishamjua demu mtaani kisha akawa anafukuziwa na a nice guy hadi ukawa unamwonea huruma jamaa?

Ishanitokea mara kibao.
 
Ukwel kabisa,,,,,

Mwanaume unatakiwa kuwa rude,,,,
Mtu flan hueleweki, hutabiriki ,,,, usimpe nafasi mke/mpz wako akuelewe ama azijue ratiba zako zote !

Ukiwa kunako sasa, uchungaji weka pembeni endesha gari haswa, piga kama unaua nyoka !
Sahihi
 
Mfano hapa JF watabaki kulike na kutaniana na mrembo wanaemwelewa ila kuzama pm au ku-make move ya kukutana au kupewa namba wanachelewa. Wanawake hawahitaji mtu mstaarabu, mwelewa elewa au wabaridi. Wanahitaji mtu anayeweza kubreak rules.

Kwa kifupi wanawake wanahitaji surprises, hekaheka, drama, purukushani...na mwisho kudinywa sanaaaaa
 
Vise versa is true Simba mwenda pole ndio mla Nyama.

Nice guy ni Kama MTU anayepiga penati bila goalkeeper uwezo wa kufunga ni mkubwa.

Kinachotekea kwa girls kusema kuwa i hate nice guy ni zilezile za sizitaki mbichi .
 
Ye aruke anavyoruka awakubali anaowakubali siku akinipa nairarua na maisha yanaendelea but kubadilika na kuwa rude hiyo ilishanishinda mi ni nice guy na yes inanicost but this is me and I have accepted my personality
 
Yaani tena usithubutu kabisa don't be nice

Wanawake wanapenda Ujinga Ujinga + masihara utani Kwa sana ndio unaweza kuwapatia Ukiwa serious sana mtu wa Imani Kwa sana unaleta u-gentle mpaka ktk kukulana itakula kwako
🤣🤣🤣🤣🤣Kwamba wanaleta U gentle mpaka wapi???
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom