wajinga hao sio wa kuwaamini wanacheza na attention ya watu tu, mwanzo walisema april, april imefika wakasema mpaka 2022 kwa maana hiyo walitumia april fool kutufanya sisi wajinga.
Tuwe na subra wanasema covid iliwatinga!
Hii inayokuja kuna vipande wali shoot kwa shida kipindi cha lockdown nyingine wanamalizia wa2 wanapotoka.
Wanasema season ijayo ndio ya mwisho.
Seasons zenye akili zilikuwa One na Two nyingine ni muendelezo wa utoto na ujinga hamna la maana wana force tu. Sisi watu wazima tulishamaliza hadith kwenye season 1 and 2 labda 3 kidogo kama wangejua kucheza na stories. But hizi nyingine hakuna cha maana ni ku pro long tu hadithi isiyo na kichwa wala miguu