Good news: Diamond athibitisha Wasafi Tower kukamilika 95%

Kila mtu akitoa maona tofauti basi misukule ya domo inasema ni wivu,hivi nimuonee wivu domo kwa lipi? Hivi tz nzima ni yeye ndio aliyetoka zero? Mbona kuna Mabilionea wengi sana wana mpunga wa hatari na wameanzia sifuri na wala hatujawahi kuwasema? msilazimishe msanii wenu akubalike na watu wote!! Kuna wengine sio wapenzi wa muziki wake wa BENIBATI au MNANDA.
Tuwache uongo mziki kimziki diamond kafanikiwa hiv uliwahi kutegemea siku moja msanii wa Kitanzania atamiliki hotel?
 
Kila mtu akitoa maona tofauti basi misukule ya domo inasema ni wivu,hivi nimuonee wivu domo kwa lipi? Hivi tz nzima ni yeye ndio aliyetoka zero? Mbona kuna Mabilionea wengi sana wana mpunga wa hatari na wameanzia sifuri na wala hatujawahi kuwasema? msilazimishe msanii wenu akubalike na watu wote!! Kuna wengine sio wapenzi wa muziki wake wa BENIBATI au MNANDA.
Haya dada wa kibabuli
 
Hata kama ni mkongwe JF ,ukweli utasemwa tu,hao wasanii wenu ni MISIFA's CAMP mingi,kuongeza Sifuri tu sana,DOMO alishawahi kusema kwamba analeta Rolls Royce ipo kwenye maji ,huu mwaka wa 6 au wa 7 bado haijafika ,leo anatuambia wasafi Tower ipo 95% ndio yale yale ya MISIFA's CAMP ,mara nalipia watu kodi na bla bla kibao...Mbona simpigi Madongo KIBAKULI ingawa wote nawaona MABUMUNDA? KIBAKULI anafanya mambo ila kimya kimya ,akiweka wazi lazima tutoe SPANA ambapo hakupo sawa!! Sina Chuki na MSANII wowote ,DOMO akifanya vizuri nitatoa SIFA akiharibu atapigwa SPANA tu....DOmo namkubali kwenye Mbagala,Nitarejea,Make me sing,Inama,Kamwambie basi.

Naona una hasira sana mkuu, mambo mengine we yaache tu ili maisha yaendelee
 
wewe kumbe ni mgeni wa wasanii.
Una umri gani kwanza?
So unataka kuniambia signing ya document aliyokuwa anaonesha akifanya na mmiliki wa ile hotel aliyeuza Ni uongo? Mpaka akakututembeza maeneo yote ya ndani na nje ya hotel na akatutajia eneo ambalo ipo hiyo hotel inamaana hivyo vyote anaigiza?
 
Kwa wasanii mbona ni kitu cha kawaida sana.
wewe una uhakika gani kama hiyo document aliyokuwa anasaini haikuwa feki?
So unataka kuniambia signing ya document aliyokuwa anaonesha akifanya na mmiliki wa ile hotel aliyeuza Ni uongo? Mpaka akakututembeza maeneo yote ya ndani na nje ya hotel na akatutajia eneo ambalo ipo hiyo hotel inamaana hivyo vyote anaigiza?
 
Hata Mimi naweza kusimama jukwaani nikasema namiliki Hotel ya nyota 5 kumbe nyuma ya pazia Hotel ni ya watu wanaokwepa mkono wa serikali wananitumia
Hizo Ni fikra zako kwa level alifikia diamond sio za kudanganya umma na adanganye umma ili iweje? Mzee usikariri maisha sio kila msanii anaweza kuishi maisha ya kufake
 
Tufanye ana asilimia 10 bado nasema sio mchezo.
Tufanye ana 1% mimi nasema Heshima yake apewe tu hamna escaping ktk hili panapohitaji kusifiwa na pasifiwe maana hata angekua na 0.1% bado atabaki kuwa mfano wa kuigwa kwa vijana wengi,nani anajali hisa ni zake au si zake.

tu assume hisa si zake lakini kuna mtu kakubali jina la Diamond litumike badala ya jina lake (hii je ni ndogo),wengine sisi ukimuita mtu CONTROLA anakwambiia nitolee ujinga usinifananishe na huyo mtu,lkn kuna mtu mahali

kakubali kuweka jina lake pending na kuweka jina Diamond mbele,asee hebu tujifunze kukubali maendeleo ya wengine hata ktk hicho kidogo,maana hatutopungukiwa na kitu.
 
Back
Top Bottom