Yah ndio 0.facebook ina work like always haijastop kuwork the only different ni kuwa hauwezi ukai access with 0tshs but kama unacredit inafanya kazi kama kawa na credit inaliwa.hahahahahaha bendera nusu mlingoti jamn,mbona 0.facebook INA WORK ACHEN UTAN LABDA KWENU HUKO MI KWANG INAWORK SEMA ZLE PROXY ndo utata
hapo ndio pananipa tabu pa kuliwa helaaa dahYah ndio 0.facebook ina work like always haijastop kuwork the only different ni kuwa hauwezi ukai access with 0tshs but kama unacredit inafanya kazi kama kawa na credit inaliwa.
Mbona kama sielewi mnaongelea kitu gani humu,au nimekosea njia?