Mnapenda vya bure wabongo imekula kwenu!
Mnapenda vya bure wabongo imekula kwenu!
We ms***e sana unafata nini huku kama unazo!!
unashindana na nani kutupa post kwenye kila topic. Nimekusoma una inferiority complex kubwa mno!. Go back to school!
umeshindwa kumblock demu wako asije kwangu sisi ndio utatuweza nenda facebook hapa si kwako na tunakutoa humu lofa weweSawa mkuu nimekupata vizuri,usipende vya bure fanya kazi,nipo huku kuwaelimisha mapoyoyo kama wewe,halafu kesho unajifanya una uchungu ngeleja na maige wanaiba mali zenu wakti na wewe ni m1 ya wahujumu uchumi,nunua bundle acha kutafuta free proxy,na ikiwekwa yeyote hapa free proxy nai-block kwenye AAA server.
nafkiri wanafanya improvement flan na hawajaban proxy ila ni kwamba 0.facebook.com ndo haipo hewan proxy zinafanya kazi
kwa experience yangu naona kama improvements zao zinaweza waharibia.
Toka walipositisha proxy kuna vitu hivi nimeviona
Sometime wap.vodacom.co.tz inafunguka bure sometime ukifungua inaandika u don have enough credit to open this page
Kwa wanaotumia voda na line zao zina hela nyingi yaani zaidi ya sh 500 wajaribu kuingia hio page ya wap.vodacom.co.tz je ukiwa na balance kubwa inakula hela? Maana so lazima trick za net uwe na sh 0 baadhi ya tricks zinahitaji uwe na balance kubwa.
Na kama voda wataachia homepage iwe bure wajiandae maana pdproxy pia itawahusu