e2themiza
JF-Expert Member
- Mar 29, 2011
- 974
- 563
Ok nikwamba kwa taarifa ambazo tumepata hv punde ni kwamba tumekumbwa na msiba. Sasa bdo haijajulikana fasaha ni kwa muda tu au ndo moja kwa moja.. Ni kwamba the good news ni kwamba kuna upenyo mwingine kama wa marehemu na kuna baadhi ya watu that I trust niliwatajia humu. SASA UNDER NO CIRCUMSTANCES SHOULD ANYONE! Taja uo upenyo hapa. Ngoja masaa 24 yapita tuwa na uhakia kilichotokea na pia kama nikwl ni no more nitagawa ip tu. But sio jina ili isiweze kujulikana kirahisi. Pia now naona mejifunza msitaje taje haya mambo hovyo. Ohoo!! See you again in 24 hours.