GOOD NEWS! and WARNING to Voda free internet proxy hack

e2themiza

JF-Expert Member
Mar 29, 2011
974
563
Ok nikwamba kwa taarifa ambazo tumepata hv punde ni kwamba tumekumbwa na msiba. Sasa bdo haijajulikana fasaha ni kwa muda tu au ndo moja kwa moja.. Ni kwamba the good news ni kwamba kuna upenyo mwingine kama wa marehemu na kuna baadhi ya watu that I trust niliwatajia humu. SASA UNDER NO CIRCUMSTANCES SHOULD ANYONE! Taja uo upenyo hapa. Ngoja masaa 24 yapita tuwa na uhakia kilichotokea na pia kama nikwl ni no more nitagawa ip tu. But sio jina ili isiweze kujulikana kirahisi. Pia now naona mejifunza msitaje taje haya mambo hovyo. Ohoo!! See you again in 24 hours.
 
yaani kaka nimejaribu kwa pc yangu hapa ila wapi ila najua nitajitaidi niwagundue hawa kama ni kweli wamefunga ila kuna mshkaji ananiambia sijui leo voda inasumbua net but sina uhakika kabisa ila bado tutawakamata
 
yaani mpaka ile paje nyingine hairespond sijui kunani aisee...!! Hnstly itakuwa network 2, ile page nyingine mbna haijasambaa kivilee
 
Whoooof!!! Now I am relieved..thanx man..yaan kulipia net tena mi najionea adhabu tu!! Now u guys will really learn to shut ur mouths!!!
 
nasikitika sana ila atakayepata njia nyingine atujuze tuendeleze gurudumu hili la maendeleo coz bundle ni kwikwi...... Ooooh mimi
 
We ms***e sana unafata nini huku kama unazo!!

Sawa mkuu nimekupata vizuri,usipende vya bure fanya kazi,nipo huku kuwaelimisha mapoyoyo kama wewe,halafu kesho unajifanya una uchungu ngeleja na maige wanaiba mali zenu wakti na wewe ni m1 ya wahujumu uchumi,nunua bundle acha kutafuta free proxy,na ikiwekwa yeyote hapa free proxy nai-block kwenye AAA server.
 
Hili ni janga la kitaifa kwa tunaopenda downloading za nguvu

But this should be a lesson to us, tunajiachia sana as if wenyewe wamelala
Ikipatikana upenyo mwigine we need to do things differently
 
Sawa mkuu nimekupata vizuri,usipende vya bure fanya kazi,nipo huku kuwaelimisha mapoyoyo kama wewe,halafu kesho unajifanya una uchungu ngeleja na maige wanaiba mali zenu wakti na wewe ni m1 ya wahujumu uchumi,nunua bundle acha kutafuta free proxy,na ikiwekwa yeyote hapa free proxy nai-block kwenye AAA server.
umeshindwa kumblock demu wako asije kwangu sisi ndio utatuweza nenda facebook hapa si kwako na tunakutoa humu lofa wewe
 
nafkiri wanafanya improvement flan na hawajaban proxy ila ni kwamba 0.facebook.com ndo haipo hewan proxy zinafanya kazi

kwa experience yangu naona kama improvements zao zinaweza waharibia.

Toka walipositisha proxy kuna vitu hivi nimeviona

Sometime wap.vodacom.co.tz inafunguka bure sometime ukifungua inaandika u don have enough credit to open this page

Kwa wanaotumia voda na line zao zina hela nyingi yaani zaidi ya sh 500 wajaribu kuingia hio page ya wap.vodacom.co.tz je ukiwa na balance kubwa inakula hela? Maana so lazima trick za net uwe na sh 0 baadhi ya tricks zinahitaji uwe na balance kubwa.

Na kama voda wataachia homepage iwe bure wajiandae maana pdproxy pia itawahusu
 
haki ya nani hii ni disaster, nimedownload mpaka saa kumi usiku nikasema nilale kidogo, naamka asubuhi najaribu kuresume, hakuna page inayofunguka, download zote chali, nkasema ntakuja kuuliza, kumbe wote mme experience this!
 
nafkiri wanafanya improvement flan na hawajaban proxy ila ni kwamba 0.facebook.com ndo haipo hewan proxy zinafanya kazi

kwa experience yangu naona kama improvements zao zinaweza waharibia.

Toka walipositisha proxy kuna vitu hivi nimeviona

Sometime wap.vodacom.co.tz inafunguka bure sometime ukifungua inaandika u don have enough credit to open this page

Kwa wanaotumia voda na line zao zina hela nyingi yaani zaidi ya sh 500 wajaribu kuingia hio page ya wap.vodacom.co.tz je ukiwa na balance kubwa inakula hela? Maana so lazima trick za net uwe na sh 0 baadhi ya tricks zinahitaji uwe na balance kubwa.

Na kama voda wataachia homepage iwe bure wajiandae maana pdproxy pia itawahusu

Yees..hapo ndo'penyewe, PD-proxy!! waache wateleze maisha magumu sana bongoland Chief.....lets get it down!!!
 
Last edited by a moderator:
cha kvfanya n rahic inabidi ui ping 0.facebook.com but thats not the solution caz italeta facebook ya kawaida (www.facebook.com} msiwe wavivu itabidi mu iping mpaka kieleweke ili ilete 0.facebook.com
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom